Advertisements

Friday, August 8, 2014

WANAWAKE WA KITANZANIA NI WAREMBO PITIA HII NA UTAKUBARI

Hapa ni siku ya birthday ya mlimbwende Nancy akiwa na Faraja Kota na K-Lyn wote  ni wake za wenye nazo.
Maisha bongo ni tambalale warembo wanye maisha ya mboga 7 wakipata upepo safi na jua la afya wakiwa kwenye boat.
Huyu ni K-Lynn mke wa Millionea Mengi
Warembo Wakitanzania tuwapesifa zao.
Wanawake Wakitanzania ni wazuri kubari na tuwape sifa zao.
 Habari ndiyo hii bongo wenyenazo ndiyo habari ya mjini

No comments: