Advertisements

Thursday, September 29, 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA KAMPUNI YA CHINA ELECTRONICS CORPORATION

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka kampuni ya China Electronics Corporation ya kutoka nchini China, Ikulu jijini Dar es Salaam 
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na ujumbe kutoka kampuni ya China Electronics Corporation ya kutoka nchini China, Ikulu jijini Dar es Salaam 

No comments: