Advertisements

Wednesday, December 7, 2016

MACHINGA WAANZA KURUDISHA VIBANDA VYAO MAKOROBOI MWANZA

Jana Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli alitoa agizo kwa watendaji wa Mkoa wa Mwanza kusitisha mara moja zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wadogo Machinga katikati ya mji.
 Baada ya agizo la Rais tayari kwenye eneo la Makoroboi Mwanza machinga wameanza ujenzi wa vibanda kwenye maeneo yao ya biashara



No comments: