Advertisements

Sunday, April 30, 2017

ASYA IDAROUS KHAMSINI, MISSY TEMEKE KUNOGESHA OLD SCHOOL REUNION, COLUMBUS,

DEO NGASSA KUONGOZA YANGA, NOCO NA RENATUS NJOHOLE KUONGOZA LUNYASI
Kikosi cha Simba kikiongozwa na Nico na Renatus Njohole Dallas, Texas.
Kikosi cha Yanga
Kikosi cha Simba kikiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Wilson Masingingi na mkewe siku walipotwaa ubingwa Dallas, Texas wakati wa kongamano la DICOTA
Kulia ni mkuu wa Wilaya Mhe. Kasesela akiwa Hoston katika picha ya pamoja na wachezaji wa Pazi enzi hizo Vitalis Gunda na Atiki Matata aliyekuja toka Uingereza kuiwakilisha Pazi.
Timu ya Tanzania iliyoundwa na wachezaji waliotamba enzi hizo katika timu za Pazi, Vijana, Don Bosco na kwengineko wakinyanyua juu kikombe walicho kipata baada ya kuifunga timu ya Gabon

No comments: