Advertisements

Sunday, October 29, 2017

IBADA YA MISA Lugha Kiswahili BALTIMORE Maryland Octoba 29, 2017

Image result for ibada ya kiswahili baltimore

Padri Honest Munishi
Mnakaribishwa sana kushiriki ibada ya Misa kwa Lugha ya Kiswahili kama ilivyo desturi
yetu ya kila mwezi. Ibada hii itafanyika katika kanisa la Mtakatifu Edward (St. Edward Parish)
Octoba 29, 2017 saa nane kamili mchana (2:00 PM)

Anwani:
901 Poplar Grove St.
Baltimore, Md 21216
Mawasilino: 4103622000.

Kwa niaba ya Padri Honest Munishi ni Katibu Tibruss Minja.

Mungu ni mwema kila wakati, Kila wakati Mungu ni mwema.

1 comment:

Anonymous said...

Asante sana kwa taarifa.
Pia shukurani nyingi kwa wanaJumuiya na Pedro kwa kutushirikisha kimono.
Bila kumsahau Dj Luke kwa kututaarifu mambo mengi yanayotuhusu wana Diaspora.Viva Luke.