Advertisements

Saturday, May 26, 2018

Tangazo la Kisomo cha Dada yake Deddy & Futari ya Pamoja DMV leo Jumamosi

Kaka Yetu Deddy Rouba anatujulisha Kisomo cha kumuombea Dada Yake Mpendwa Bi Wahida Batashy, aliyefariki Jumamosi May 19, na kuzikwa May 20, nyumbani Tanzania.
Kisomo kitafuatiwa na Futari ya pamoja.

Jumamosi, May 26, 2018
Kuanzia Saa Moja usiku - Saa Tatu usiku (7PM - 9:00PM)

INDIAN SPRING LOCAL PARK

9717 Lawndale Dr.
Silver Spring, MD 20901


Kwa taarifa zaidi, wasiliana na

Deddy 240 353 8311
Ali Muhammed 301 500 9762
Nuru Mwamende 240 603 9364
Amina Ibuni 240 481 0336


Tafadhali ukipata taarifa muarifu na Mwenzio. Tunatanguliza Shukran.

_Inna Lillahi wa Inna Ilayhi Raajioun_ [Hakika Sisi ni wa Mola, na Kwake ni Marejeo] Quran 2:156

No comments: